Update baada ya Freeman Mbowe kulazimika kupelekwa Hospitali jana.

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowejana Aug 10 2015 baada ya kumaliza harakati za kumsindikiza Edward Lowassakuchukua fomu ya Urais kwenye tume ya taifa ya uchaguzi, alipelekwa hospitali baada ya kupata kizunguzungu kikubwa.
Aug 11 2015 baada ya habari kuanza kuenea, aliamua kuwaita waandishi wa habari hospitalini na kuyasema haya yafuatayo >>> ‘ Mimi ni mzima nilipata tu tatizo kidogo jana baada ya msafara mrefu kutokea Buguruni kwenye tume ya taifa ya uchaguzi na hatimaye kuja Kinondoni, nililazimika kuja hospitali sababu ya kuchunguzwa baada ya kukabiliwa na kizunguzungu kikubwa




James Mbatia, Freeman Mbowe akiwa na Edward Lowassa na mke wake pamoja na Wafuasi wa UKAWA kwenye maandamano jana.

x

Comments

Popular Posts