_usagara secondary siku ya iddi
As Normal kama kawaida ya tanga kila sikukuu huwa na vituko na vioja vyake , basi Leo katika harakati za kutembea hapa na pale nilipita katika shule moja maarufu sana hapa jijini, na si nyingine no shule ya sekondari usagara , wenyewe wanaiita USA.
Nilibahatika kukutana na baadhi ya wanafunzi Wa a level yani form five na six ambao hujiita pre_ university , pamoja na kwamba Leo ilikuwa sikukuu wao waliendelea kupiga msuli at infinity wanaita hakuna kulala eti mwendo mpera mpera mpaka towards a mocking exam .
Lakini cha ajabu zaidi ni baadhi ya wanafunzi walioenda tanga beach resort wakiwa na shilingi 2000 mfukoni, wanafunzi hawa walifika na kuagiza menyu ambayo bei yake haikuwa ya mchezo, kilichotokea ni kwamba wanafunzi hao wamelazwa rumande mpaka watakapo lipa hyo pesa.
Wanafunzi hao wanasadikika kuwa ni wakina ngosha yaan watu Wa kuleeee usukumani . majina yao yamehifadhiwa kwaajili ya usalama
Hahahahhaha haya bana
ReplyDeleteHahahahhaha haya bana
ReplyDelete